Pata fundi wa kuaminika na mwenye uzoefu kwa kazi yoyote unayohitaji kuanzia ujenzi, umeme, seremala au kazi yoyote ya ufundi.
Mfumo wetu wakuwezesha kuchagua fundi unayemtaka wewe kulingana na wasifu wake kwa urahisi bila usumbufu.
Kwa kutumia MimiFundi, hupotezi muda kuzunguka mitaani kutafuta fundi. Utapata fundi bora moja kwa moja, kwa urahisi na haraka.
Badala ya kutumia matangazo ya gharama kubwa, kupitia MimiFundi anajitangaza bure na kwa urahisi. Wateja wanakuona moja kwa moja kupitia wasifu wako.
Kadri unavyofanya kazi nzuri, ndivyo unavyopata nafasi zaidi na sifa bora. Utaaminika zaidi ukionekana upo katika familia ya MimiFundi.
MimiFundi hukuwezesha kufikiwa na mamia ya wateja wanaohitaji huduma zako kila siku. Hii ni nafasi yako kujitangaza na kukuza jina.
Tafuta fundi au kazi kwa hatua chache tu—popote ulipo, muda wowote.
Mafundi wenye uzoefu, waliothibitishwa na wenye maoni chanya kutoka kwa wateja
Pata bei nzuri kutoka kwa mafundi mbalimbali na uchague anayekufaa.
Angalia tathmini za mafundi kabla ya kuamua—hakuna kujuta baada ya kazi!
"Nimefurahia sana huduma ya Mimi Fundi! Walitengeneza jiko langu la zamani na kulibadilisha kuwa mahali pazuri na pa kisasa. Huduma zao ni za kitaalamu na za haraka."
"Niliagiza kazi maalum kutoka kwa Mimi Fundi kwa ofisi yangu na nimefurahi mno na kazi walizofanya. Ni ubunifu na ufanisi wa hali ya juu."
"Mimi Fundi walitengeneza sehemu ya nje ya nyumba yangu kwa wakati na kwa bei nzuri. Huduma zao ni za kuaminika kabisa."
We are developer who need to solve the problem of finding professional construction worker while we have skill to get closer a servise of finding professional construction worker in your Mobile
Thanks for choosing us