Jiunge na familia ya
MimiFundi Leo

Mimifundi ni jukwaa linalowaunganisha mafundi na wateja kwa urahisi na haraka. Ukiwa sehemu ya famililia ya MimiFundi unapata nafasi ya kufikia maelfu ya watu wanaohitaji huduma za ufundi kila siku. Pia utapata mafundi bora kwa kazi zako.

Pata Fundi
Bora Kwa Kazi Yako

Unahitaji fundi umeme, bomba, cm, computer au kazi yoyote ya ufundi? Kupitia MimiFundi, unaweza kupata fundi bora aliye karibu yako kwa sekunde chache tu. Mfumo wetu wakuwezesha kuchagua fundi unayemtaka wewe kulingana na wasifu wake. Tafuta fundi sasa usisite!

Jiunge
Ukiwa Fundi.

Kama wewe ni fundi mwenye ujuzi na bidii ya kazi, huu ndio wakati wako wa kung'aa. Jiunge na MimiFundi sasa ili kujitangaza, kupata kazi mpya na kujenga jina lako kupitia wateja wengi. Utaonyesha kazi, ujuzi na utaongeza kipato

Unafuta fundi Bora?

Pata fundi wa kuaminika na mwenye uzoefu kwa kazi yoyote unayohitaji kuanzia ujenzi, umeme, seremala au kazi yoyote ya ufundi.

Rahisi na Haraka

Mfumo wetu wakuwezesha kuchagua fundi unayemtaka wewe kulingana na wasifu wake kwa urahisi bila usumbufu.

Okoa Mda na Pesa Kupata Fundi.

Kwa kutumia MimiFundi, hupotezi muda kuzunguka mitaani kutafuta fundi. Utapata fundi bora moja kwa moja, kwa urahisi na haraka.

Fundi Jitangaze Bila Gharama.

Badala ya kutumia matangazo ya gharama kubwa, kupitia MimiFundi anajitangaza bure na kwa urahisi. Wateja wanakuona moja kwa moja kupitia wasifu wako.

Jenga uaminifu Mtandaoni

Kadri unavyofanya kazi nzuri, ndivyo unavyopata nafasi zaidi na sifa bora. Utaaminika zaidi ukionekana upo katika familia ya MimiFundi.

Ongeza idadi ya wateja.

MimiFundi hukuwezesha kufikiwa na mamia ya wateja wanaohitaji huduma zako kila siku. Hii ni nafasi yako kujitangaza na kukuza jina.

Tumia Mfumo Wa MimiFundi Leo.

Kuhusu Mfumo

Ujue Mfumo Na Jinsi Ya Kupata Fundi

  • Njia ya kwanza Kupata Fundi


    Hatua Za Kufuata
    Hatua 1: Ingia / Jisajili
    Hatua 2: Tengeneza ombi la kazi
    Hatua 3: Mafundi watajibu na kutoa maelezo yao.
    Hatua 4: Chagua fundi bora na maliza kazi.


    Njia ya Pili Kupata Fundi


    Hatua Za Kufuata
    Hatua 1: Ingia / Jisajili
    Hatua 2: Bonyeza batani ya Tafuta Fundi
    Hatua 3: Chagua aina ya fundi, mf painter, Car service au nyingne.
    Hatua 4: Chagua fundi unayemtaka kwenye orodha na utachagua umpigie au mkubali fundi na ujumbe umfikie.
    Hatua 5: Anza kazi.

đź›  Faida za MimiFundi

Haraka na Rahisi

Tafuta fundi au kazi kwa hatua chache tu—popote ulipo, muda wowote.

Mafundi wa Kuaminika

Mafundi wenye uzoefu, waliothibitishwa na wenye maoni chanya kutoka kwa wateja

Bei Nafuu na Ushindani

Pata bei nzuri kutoka kwa mafundi mbalimbali na uchague anayekufaa.

Tathmini na Maoni (Reviews)

Angalia tathmini za mafundi kabla ya kuamua—hakuna kujuta baada ya kazi!

Contact Us

Leave us a message:

Testimonials

What They Say

About MimiFundi

We are developer who need to solve the problem of finding professional construction worker while we have skill to get closer a servise of finding professional construction worker in your Mobile

Thanks for choosing us



    ofessional construction worker in your Mobile

    +255745 809 782
    mimifundi09@gmail.com
    Mbeya